Huyu beki enzi za uchezaji wake pale Man U,naona alikuwa beki makini na mwenye mvuto,sura yake kwa kweli ni tamu akiwa kazini ni nadra sana kukuta akismile kama wachezaji wengine.Kwa maoni yangu huyu ni the best beki ever katika historia ya soka na Netherland National Team!
Lkn jamaa ana radha yake bwana hata akifanya makosa kuna vityko vya aina yake anavifanya nitakuja hapa na vituo ngoja nivikusanye alaf ntavidondosha hapa jamvini!
UNAJUA sTAM ALIKUA MTAMU ILE MBAYA , ILA ALIKUWA AKIELEWANA SANA NA BEKI MMOJA ALIKUA anaitwa Ronny Johnsen sasa ikatokea bahati mbaya sasa huyo kijana akaumia, ikabidi kijana mdogo wakati huo Wes Brown awe anacheza na mkongwe Stam huku golini kipa akiwa FabianBartez , hakika kulikua na vituko sana, ukikumbuka ndio nyakati za Man U kufungwa yale magoli ya kutegeana, maana Stam haongei, Bartez haongei , Wes Brown kijana wavitendo...hapo ndipo pale Fergie alipohisi kuwa Stam uwezo wake ulifika mwisho .....akamuuza.