Sitamsahau huyu dada

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,516
Reaction score
1,775
Baada Ya kuachana na mpenzi wangu, raia wa nchi moja ya nje ya Africa. Nikatulia mwezi mmoja then nkaamua kutafuta kipozeo.

Basi nkampata dada kutoka mwanza me naishi Dar, demu ni mzuri,chura ipo na mweupe. Basi banda Ya mwezi eti hana hela Ya Kodi, nikampa laki tano, baaadae aliibiwa simu nkatoa laki sita nkamnunulia simu nzuri tu.

Basi Kwnye sikukuu ikabidi nimuite nile papuchi, mtoto akadai eti nimkatie tiketi ya ndege basi nkaangaika wee maana wasafiri walikuwa wengi ila nilipata ATCL tena Boeing787-8 .

Mtoto akaja Dar nilikuwa na hamu nae balaa, usiku ukafika tukajipanga kufanya yetu, aiseeeeeeee wakati naingiza mshedede wangu uliotukuka, nilishtuka kila kitu kimepita mlangoni hadi koni, looool mtoto alikuwa na Bwawa, kuzidi hata la Strigauge gorge, yaani bwawa kama Answan High Dam. Yaani niliishiwa pozi yeye akabaki anaaibu, mshedede unaelea tu bwawani.

Niljikaza nkapiga kimoja, kesho yake nkampa nauli akarudi mwanza.

Aisee wadada tafuta Dawa za kupunguza kina cha Mabwawa yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…