Sitapeliwi hapa? Bei ya fremu anakutajia Dalali au mwenyewe fremu?

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,192
Wakuu katika zunguka yangu nimehamia mji mpya nashangaa nataka fremu niweke biashara yangu Dalali amenitajia Bei yeye badala ya Mwenye banda..

Wazoefu nielewesheni nimetoka kijijni nimezaliwa Kijijini ila kuibiwa kisembe sipendi.. Na Dalali Pia nimpe chake mbali na ya frame kule..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndivyo tunavyoishi mkuu.
Kodi ya fremu ya mwezi mmoja + Hela ya kukupeleka tuliyokubaliana= Mgao wa dalali
Kwahiyo kama fremu ni 50,000. Ukataka kulipia miezi 6, basi ujue utalipia 350,000.

Ukijifanya mjanja kuwa tayari ushaijua fremu ilipo, ukaamua kusema hujaipenda, halafu baadae mkamzunguka dalali, ukaenda kuelewana na mwenye fremu kimya kimya kisha ukahamia, jiandae kula hasara tu.
 
Kwamba hapa napigwa mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…