Sitarajii Kuoa Waziri kutoka Baraza la Mawaziri Mimi Deogratius N Kisandu.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
Watu wengi wamekuwa wakifikiria kuwa labda nitaoa Waziri mmoja kati ya Mawaziri wanawake. Na hii imekuwa ikizushwa kwa kuwa nimekuwa peke yangu kwa muda mrefu.

Kimsingi Mimi siwezi kuoa Waziri kwa kuwa na MTU kutoka Taifa LA Marekani ambaye Mungu ana mwandaa.

Najua hata mateso nayopata inahisiwa kuwa nyuma kuna mawaziri wa kike na katibu mmoja wa CCM wakiratibu ili nioe Waziri. Mapenzi haya lazimishwi.

Deogratius N Kisandu
Aksanteni.
 
Yani mie hata sikuelewagi kabisaaa
 
Hivi kuna Waziri ambaye ni single hadi mawazo kama haya yajakuingia kichwani na hata kama Wapo hivi kweli hawajavutwa sketi zao wakusubirie mnato kama wewe?
 
TUPE cv yako mpaka uoe Waziri
 
Huyu jamaa hana ndugu wa karibu ? Kwanini hawamuwahishi hospitali ya akili ?!
 
Wakuuu na amini jukwaa hili lina wabobez wa taaluma ya afya hata ramli pia nawaomba msaidieni huyu kiumbe hata kwa ushauri tuu manake hayupo sawa ipo mushkeli pahala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…