Sitarajii Kuoa Waziri kutoka Baraza la Mawaziri Mimi Deogratius N Kisandu.

Huyu jamaa kwa mujibu wa watafiti wa magonjwa ya akili walibaini kuwa mtu mzima wenye afya ya akili na mwili akipimwa akiwa na Mawazo elfu sabini tu(70,000) huyo mtu tayari yupo kwenye kundi la vichaa
 
Mie huwa namkubali mno Deo, safi sana unanifanya muda wote nkiona post zako nifurahi
 
Heheheee, tuko kwenye phase mpya jamani ya Tanznia ya vi-wonder
 
hii ndio listi ya wanawake mawaziri
1.Ummy Mwalimu
2.Kairuki
3.Stella Manyanya
4.Jenista Mhagama
5.Mabula
6.Dk.Kijaji

Sasa sijui deo anamtaja nani
mbona professa hapo hayupo?
 
Mmmmh sio kawaida kwa mtu mzima kuandaa andiko kama hili sifikiliii kama unajua unachoandikaga halafu unaonyesha unapenda majivuno
 
hii ndio listi ya wanawake mawaziri
1.Ummy Mwalimu
2.Kairuki
3.Stella Manyanya
4.Jenista Mhagama
5.Mabula
6.Dk.Kijaji

Sasa sijui deo anamtaja nani
Yawezekana Jenista. Huyo mume wake alishafariki na nafasi ipo wazi
 
Kwa thread hii nimeanza kumuelewa yule wa habari na hoja mchanganyiko
 
Tofauti ya huyu jamaa na Hamorapa ni kwamba Hamorapa yupo kwenye sanaa na huyu siasa japo nayo ni sanaa tu.
 
Mi nakutakia afya njema na mafanikio mema
 
huyu jamaa sijui post zake anatuma akiwa anafanya vitu gani hasomeki kabisa hakuna hata siku moja utaingia humu ukute amesema cha maana
 
Hao Watu wengi wanaofikiria utaoa waziri ni wawap? Mimi sijisikia mtaani wala mitandaoni. Afu wewe kila unachopost lazma ujitaje kisandu kisandu who are u? Inawezekana wewe unajichukulia Kama public figure wakati sivyo.
 
Dah nimecheka sana,yaani ata mirembe hapakufai we ni zaidi ya chiiziii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…