secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Umemwekea usalama wa taifa wakulindie asichapwe kwa fimboyaukwaju na wahuni?Baba nakasubiri kabinti kamoja kule kijijini kwetu shinyanga mwendakulima kamalize form four kapo 17 years now, mwakani 18 nitakua 36 of age nakaoa
Binti kama huyu hawez ni lshinda kumcontrol
Sasa wahuni wenyewe hao s ndo mimiUmemwekea usalama wa taifa wakulindie asichapwe kwa fimboyaukwaju na wahuni?
ha ha nimecheka na kufurahiUmemwekea usalama wa taifa wakulindie asichapwe kwa fimboyaukwaju na wahuni?
Wengine je!Sasa wahuni wenyewe hao s ndo mimi
Hakika mkuu fimba ya ukwaju is so flexible, Wala haivunjiki kirahisi.ha ha nimecheka na kufurahi
Ni kweli,mdogo nimepita kwingi,nimeona mengi,nimekwepa mengi na nimepambana na mengiHakika mkuu fimba ya ukwaju is so flexible, Wala haivunjiki kirahisi.
Kabisa.Ni kweli,mdogo nimepita kwingi,nimeona mengi,nimekwepa mengi na nimepambana na mengi
half london kabalagalaHi ilishanitokea....kipindi hiyo niko uganda,mitaa kabalagalaa(Nje ya Capital club)nika.mtongoza mmaza kigandaa,tumemalizia mazungumzo tuka.zangamuoneee kumbeeee kilemaaaaa dah!!wakati na mtongoza alikuwa amekaa na mimi nilikua vyomboo kimtindo,nika muonea hurumaa ikabidi nikapigeee tu.....siku nyingine mitaa ya sibico hostel kasangaaa,nika omba number nikaandikiwa kumbe demu bubuuuu
Hapana hakuwa tungi alikuwa soko maziwaUlimtongoza ukiwa tungi?