Sitarudia kuzama chumvini,nimebwa na mapaja na kushindiliwa kichwa kwa mikono hadi nikakosa pumzi

Sitarudia kuzama chumvini,nimebwa na mapaja na kushindiliwa kichwa kwa mikono hadi nikakosa pumzi

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Wakuu sitarudia tena kufanya maandalizi ya kulana kwa kuzama chumvini baada ya shemeji yenu kunibana na mapaja kwa dk 4 huku akinishindilia kichwa changu kwa mikono hadi nikakosa pumzi.

Zoezi hili lipigwe marufuku litakuja kuondoka na maisha ya mtu .

USSR
 
Back
Top Bottom