princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
- Thread starter
-
- #41
Nop Dad,Nimezoea mamanzi kunitokea wanaji-format,wanaji-download wenyewe.
huu uongo nilijuaga naambiwa mimi tu....[emoji23]Huyo sio mm nimeiba picha ya watu tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mecheka mm ndio unavyojidanganyaga eenhhuu uongo nilijuaga naambiwa mimi tu....[emoji23]
akati mamiloo white kabisa kwa fasi ya mgongo na kishundu yeche yeche ukikatiza kwa fasi ya skani hakuna chaliii isiyo geuka kuchek haga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mecheka mm ndio unavyojidanganyaga eenh
Inaonekana jamaa ni wa Arusha msamehe tu, naamin hata wengine wamesoma kwa tabutabu tu.