Sitarudia tena kutumia njia hii ya kurefusha maumbile


Miti shamba huwa inasidia ktk magonjwa matatizo mengi. Tatizo wazungu wamekuja kutuharibia utamaduni wetu wa kuishi.
 

jamani kunawatu baada ya kuhakiki na kuona
kweli hii mizizi inafanya kazi kama nlivosema,
wameanza kunipigia simu na kusema eti wao ni
madaktari na watafiti wanaomba kuifanyia utafiti
na tuingie ubia.! Wengine eti niwauzie kwa bei ya
jumla.
Tafadhali nasema hivi, dawa siiuzi na wala sihitaji
mtafiti wala daktari bingwa hapa!! Maana
nawafaham nyie na kujifanya kwenu eti watafiti.
Sitaki.
Dawa nawasaidia wanaume wenzangu bureee!
Sihitaji usumbufu na kamwe sitamtajia mtu jina la
huo mmea hata uje na bilioni.
 

acha porojo wewe eti hata waje na bilioni
 
jamaa anatoa mzizi wa mchaichai
kisha anakula 20 yako

bongo hii ohooooo
 
Iyo namba mbona haisomeki.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…