Sitasaau safali ya Serengeti kuwona wanyama.

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Kipndi nipo mudogo miyaka kama kumi na 16 arikuja mujomba wangu kutoka Itaria na kutupereka bugani kuwona wanyama nakuumbuka irikuwa muaka 2012 turipanda gari kutoka kijijini adi mwanza na kesho yake tukaeda kupanda magali ya kuwenda seregeti. Jiwoni tukafika mugumu na mujomba wagu mimi na mama pamoja na watoto wake aliyotoka toka nawo itaria. tulilala otelini hadi kesho tukachukua magali ya watali na kuaza kutembea kuwona wanyama hakika wale wanyama warikuwa wanavutia sana mujomba arisema kure itaria hakuna wanyama kama ware. Baadaye turiludi tena hadi muanza na kuerekea nyumbani.
 
Halafu.....?
 
Wacha kutuchezea wewe bwege..Kiswahili unakijua lakini unafanya mzaha,mbona sehemu zengine umeandika gari kwa usahihi halafi kwengine umejifanya mjinga.Kwengine umeandika Mwanza vizuri kwengine unajifanya bwege.Wacha kutafuta umaarufu wakijinga humu.Kuna mambo mengi yakujadili nakujifunza kuliko ujinga huu.
 
Sasa na wewe Kama yeye tu.

Unajiita tajiri mpole halafu unamfokea!!!!!!!!

[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
 
Nimecheka mbavu sina,
Hapa kuna mambo mawili
Kwanza,jamaa anaweza kuwa ni wale watu walioishia darasa la pili au la tatu (kwa huku jijini Mwanza wapo wengi sana) so,wanakuwa na uandishi huo
Pili,naona jamaa anafanya comed na huyu atakuwa intertainer mzur sana hapa Jf baada ya GuDume,General galadudu na Slim 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…