Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

Duuuuh,mpaka transformer yako?kweli 100 lazima ifike,aliyenipa info anasema huko alipo hizo plant zina gombaniwa sana na kuna foleni mpaka za miezi mitatu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ukitaka ukae vizuri nunua gari zako hata 4 unapiga kazi.
Zile gari (faw) sikumbuki zinabeba kiasi gani lkn jamaa anakodisha kila trip laki 4. Mafuta na dereva unalipa wewe.
Na sehemu ilikuwa ni km 18hv.
Hapo hujaweka gharama ya kupakia ...mafuta.... dereva....kila trip unalipa 400 ya gari.....
 
Zile tipper za kubebea vifusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikichojifuza huku usije kwa pupa!..kwamba kila mtu anakupa idea yake anakuchomoa hela utamalzwa mno mno!na wakikujua una hela utajuta!...
 
Aseee we jamaa Mbona kama nakufahamu kabisa mimi hizi biashara nimezifanya sana huko Geita Katoro, masumbwe, kakola , ukisikia sehemu fulani imehila ni mbio unajua umetajirika ukienda unarudi kapa asee ila pole sana tumepitia hayo wengi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sure..nzega kumelipuka toka dec hv ! Mchawi mkubwa wa migodini ni kuwa na plant!...yaan hukos zaid ya 10m monthly!kugusa tu!
 
Yaan ww una uncle nzega succesful na ww dar unafanyaje??dah...mie nisingeweza ..ningeenda aisee!hope umeridhika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…