Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
PART 1
Sitasahau siku nilipompa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne aliyekuwa anasoma Jitegemee ambaye baba yake ni askari police mwenye vyeo vyake kibao.
Ilikuwa ni ijumaa jioni miaka mingi iliyopita wakiwa nyumbani kwao huyo mtoto akaanza kutapika baba yake akashauri apelekwe hospitali akacheki.
Subhanallah yule binti kwa jina la P aligundulika anaujauzito wangu na alichezea kipigo hatari na kunitaja kwa bahati nzuri mm sikuwa nafahamika kwani kipindi hicho nilikuwa UDSM mwaka wa kwanza hivyo tulikutana tu na uhusiano ukaanza.
Kikubwa zaidi ni pale nilipokuwa nipo Hostel Mabibo namweleza rafiki yangu wa karibu kilichotokea ananishauri kuwa niondoke hostel huu ni bonge la msala mara ring ring simu ikaita
" Habari yako kijana nasikia mmepeana mimba sasa chaguo ni moja tu umchukue huyu takataka mwenzako au nifanye ninavyojua mimi nafikiri huyu mpumbavu mwenzako kashakueleza mimi ni nani, Nimeshapata taarifa zako ww ni mwanachuo na ninaweza kuja hapo chuoni kwenu wakati wowote kikubwa bora ujisalimishe"
Nikakurupuka na kuokota begi langu na kukimbia mpaka kimara Korogwe kwa washikaji na kuanza mbinu za kujipanga kupambana na hhali yangu kipindikile............ itaendelea