Sitasahau Special Thread

Supervision

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
265
Reaction score
203
Mambo vip?Wadau katika maisha tunapitia mambo mengi hivyo wakati fulani tunatakiwa kushare uzoefu ili tuweze kupata elimu kidogo.Karibuni tushare stori ambayo huwezi kusahau hapa chini:
 
Ungeanza kutoa mfano bwana mdogo....
Ama umekosa kazi ya kufanya???
 
Wametumwa haoo...lengo ni kutupa/kuanzisha mijadala isiyo na umuhimu, lengo tusahau mambo ya msingi.
 
Hapana wadau,kuna project naifanya so nahitaji kupata kujifunza kutoka kwa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…