SITASAHAU, true story!

Sijui kwa nini nyini wenye tabia hizi huwa mnapewa bahati ya kuishi, na wale waaminifu wanaambukizwa hata mahospitalini.
 
Kwa matukio haya naamini Mungu anakupenda sana, umefanya vyema kuachana na hizo tabia maana pengine yangekukuta makubwa na kujikuta ukijimaliza wewe na mkeo asiye na hatia na kisha kuacha uzao wako ktk hali ya kutanga tanga.
Hongera kwa kuokoka, ila umaanishe siyo tena kesho uje ujitege tena kwa uzembe, utapotea.
 

Unganisha hizo dots UTABAINI.

Habari hii uliandika kabla hujaokoka au baada ya kuokoka??

Unafaham maana ya kuokoka?? au kujiunga na Walokole siku hizi nako ni kuokoka??

Dogo una uhakika umeokoka au bado uko safarini na kitendo chako cha kuparamia mambo yaliyokuzidi umri yamekuchanganya kiasi sasa HUJIELEWI??

Yetu macho na masikio maana imeishakua sasa kila asemae Bwana......Bwana, una urithi Ufalme wa Mbinguni.
 
Nimesoma liine kwa line, kama ukweli mshukuru muumba wako. Ila naona kama hujaokoka vile, hayo maneno hayo.

HAT HVYO UKIMWI HAUPATIKANI KIRAHISI. UNAWEZA TEMBEA NA MTU MWENYE UKWIMWI NA USIPATE. UNACHOTAKIWA UKILA KAVU KAVU BAADA YA KUMALIZA NENDA KAOGE HARAKA, NAKUHAKIKISHIA HUTAPATA
 
Ubungoubungo dah hata sijui nikuanzie wapi?? kwani wewe ni gari ya taka kila lionacho linasomba??

Eti vidole, sijui k mwe!!

Afu MUNGU anakusaidiaje kukuletea mtu msafi wa kumsalitia mkeo????
 
Kijana mwanaharam sana weye?........yaani unachekelea ufedhuli wako.......ukitubia inatakiwa ibaki siri yako.ukianza tena kutangaza toba hufutika.Kama vile wajisifia ulichofanya.......bure kabisa


 
hiyo miezi mitatu bila kuduu na mkeo ebu tujuze ulikuwa unajititibia ugonjwa gan?
 
mtanimaliza kwa kunitukana, kama kuna maeneo siyaelewi vizuri mnisaidie, mnijenge ili niyaelewe vizuri. ni kweli kabla ya hapo nilikuwa kama nina pepo, nikimwona mwanamke lazima namtamani, wanawake wale wagumu kukubali mimi walikuwa wanakubali just on the first date.....sikujua hadi nilikuwa najiogopa kwamba pengine nina pepo linalowavuta...naomba msinilaumu kwasababu mnanikatisha tamaa...kama kuna jambo la kunisaidia ambalo mii silielewi niambieni...asanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…