Susy Story yako inasikitisha sana...Pole sana kwa yote uliyokumbana nayo kwenye Maisha, kwa mwanadamu kila jambo analokumbana nalo huja kwa sababu..nadhan kwa kupitia yote yalikukomaza akili na kukupa ujasiri mkubwa wa kupambana nayo bila kukata tamaa. Wasamehe wote mungu atawalipa kutokana na matendo yao yaliyoyafanya