Pre GE2025 Sitashangaa kukuta yale mabasi ya CCM na pikipiki za Samia ni kati ya vitu vilivyotuponza kukosa misaada ya Marekani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
🤣🤣🤣 Mwenyezi-Mungu ambariki Donald Trump.

Na nchi za umoja wa ulaya , china , urusi wamuunge mkono Rais Donald Trump, waihakiki misaada ambayo huwa wanatoa kwenye nchi za Africa kama huwa inawafikia walengwa wananchi wa kawaida.
Ubaya mchina na waarabu ndio watachana huo mkeka wa Trump. Nadhani waarabu na wachina na wazungu wa ulaya nao wangekubali hilo takwa la kutotoa misaada kwa nchi za kiafrika, nadhani kidogo viongozi wetu wengepunguza anasa na uchawa.
 
Una hoja, watakaosikia wasikie
Hizo ndio kazi za mabalozi wanapokuwa katika nchi
Ni zaidi ya mashushushu
Kila siku wanaona kinachoendelea na wana watu wao wanaowapa updates kila siku
Hata hela zinapoenda wanajua na hata account zao wanaziangalia kwa wazungu ni jambo dogo sana maana wao ndio wanatengeneza kila kitu
Viongozi wanajiona wajanja kumbe wanachorwa tu
 
Kwenye hili nipo na Trump 100%
.Hatuna sababu yoyite ya kuwa omba omba wakati tuna mali asili kuliko nchi nyingi duniani
 
Nchi haina Elimu bora, haina Afya bora, hakuna kilimo imara, Kiongozi anatamka kwamba anategemea misaada ila bado ananunua V8 mpya za viongozi, mabasi ya CCM na kulipia show za wasanii! Ujinga promax huu!
 
C.A.G atakuja na report ya kushangaza mwaka wa fedha utakapoanza
 
Tetesi Wanasema Yalibandikwa Sticker, Pia Hayakuwa Yao
 
Ishu ya Lisu kuwa Mwenyekiti ndio imepelekea yote hayo.

Lawama ni kwa chadema.
 
Africa wasiwaletee hela wawape vitu Kama nguo , Dawa hiyo inatosha.
Kuna shirika la Marekani walikuwa wanatoa vitu tunawapa wananchi lakin katika wakati wanaoujua wanakuja kuaudit inasaidia kuondoa ubadhirifu na kitu kinawafikia wahusika
 
Nchi haina Elimu bora, haina Afya bora, hakuna kilimo imara, Kiongozi anatamka kwamba anategemea misaada ila bado ananunua V8 mpya za viongozi, mabasi ya CCM na kulipia show za wasanii! Ujinga promax huu!
Viongozi wajinga sana
 
Ina maana hatuna plan b ila CCM unaweza kuta hawana plan B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…