britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Kampeni ndani ya kampeni .Mfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado!
Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !!
Kesho kama kawaida
Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa
Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu
TUSIMCHUKIZE MUNGU
Britanicca
Kama ni yale yale na alikuwepo sio mpya, kwanini anasema apewe siku 100 baada ya kuchaguliwa kutatua matatizo kama kuzuiwa maiti katika hospital, kama sio utapeli tuitaje?Matatizo ya watanzania ni yaleyale ila ubunifu mpya katika kuyatatua ndio unahitajika. Madam mgombea amekuja kivingine.
Mgombea ni halali kwa sababu utaratibu wa kumpata ulifuatwa na kwa kuwa katiba ya Chama haijafunga mchakato unatakiwa kuwa vipi basi mchakato ulifuatwa.
Ndio maana nimesema madam mgombea amekuja kivingine kuyatatuaKama ni yale yale na alikuwepo sio mpya, kwanini anasema apewe siku 100 baada ya kuchaguliwa kutatua matatizo kama kuzuiwa maiti katika hospital, kama sio utapeli tuitaje?
Mchengerwa ndo anayelipia kikosi cha utekaji ..Yeye hataki ma mkwe agusweMfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado!
Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !!
Kesho kama kawaida
Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa
Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu
TUSIMCHUKIZE MUNGU
Britanicca
Mzee Wasira alisashasema Wanung'unikaji hamuwezi IshaMfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado!
Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !!
Kesho kama kawaida
Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa
Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu
TUSIMCHUKIZE MUNGU
Britanicca
Uko sahihiWagombea wote wanyongwe.
🕳️Kikwete usiende huko onhoo ntalipua bomu
Britanicca
NaamMchengerwa ndo anayelipia kikosi cha utekaji ..Yeye hataki ma mkwe aguswe
Mchengerwa, Abdul , Hafidhi, Mafwele na Homera ndo wenye genge la watekaji.
Shopping list!Mfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado!
Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !!
Kesho kama kawaida
Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa
Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu
TUSIMCHUKIZE MUNGU
Britanicca
Alikuwepo ajashi dwa kuyatatua. Huyu hawezi kuaminika tena.Ndio maana nimesema madam mgombea amekuja kivingine kuyatatua