TRACE
Senior Member
- Jul 4, 2008
- 120
- 46
Habarini wandugu.Nilibahatika kununua site hapo Kimara Kilungule na sasa imenishinda kwani nimepata mawazo ya kutafuta makazi Kigamboni na ninaiuza kwa yeyote aliye tayari.Ina ukubwa wa mita 20 kwa 25.Haina hati.Ni tambarare kabisa.Bei ni kuanzia 10milioni mazungumzo yapo.Mwenye nia namkaribiasha.