Site mpya - mechizaleo.tk

Site mpya - mechizaleo.tk

Mahmood

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Posts
7,908
Reaction score
2,478
Ngugu wapendwa napenda kuwajulisha kuhusu site hii mpya inayoitwa mechizaleo.tk

katika site hii kuna mechi zote zitakazo chezwa leo, time ya mechi hizo na TV itakayo toa mechi hizo.

Kila siku inakuwa updated.
 
Asante ndugu Igunga kwa site hiyo nzuri sana.
 
Ngugu wapendwa napenda kuwajulisha kuhusu site hii mpya inayoitwa mechizaleo.tk

katika site hii kuna mechi zote zitakazo chezwa leo, time ya mechi hizo na TV itakayo toa mechi hizo.

Kila siku inakuwa updated.

Hii site iko siku nyingi kaka inaitwa goalzz.com mie huwa naitumia sana kucheki matokeo umetengeneza domain name na kudirect huko nini?
 
Asanteni sana ndugu zangu kwa maoni yenu.
 
Nimeipenda sana site hii hata TV itakayo toa mechi hizo inaonyesha na time ya mechi pia.
 
Back
Top Bottom