hoter one5
Member
- Jun 5, 2013
- 13
- 15
Eleza kiswahili tunashindwa kuelewathanks any one who is willing tea is not an amount remember
usipende kupotosha watu kwa kuamini kile unachokiamini wewe ndiyo wanachoamini jamii nzima...lakini siyo kosa lako ni ni mtaala wako goodluckEleza kiswahili tunashindwa kuelewa
Umeniquote vibaya mkuu sababu siko na lengo mbaya juu ya ile kitu mnafanya.usipende kupotosha watu kwa kuamini kile unachokiamini wewe ndiyo wanachoamini jamii nzima...lakini siyo kosa lako ni ni mtaala wako goodluck
Safety boots na cotton coat vingekuwa bei nzuri tareh 28 ningekuwa hapo mapema. Kama mnawezesha vifaa nije mkuuthanks any one who is willing tea is not an amount remember
Kofia ngumuHelment ndio kifaa gani??[emoji2369]
nichek kwa namba hii whtsp 0626 402 722Safety boots na cotton coat vingekuwa bei nzuri tareh 28 ningekuwa hapo mapema. Kama mnawezesha vifaa nije mkuu
Habarini za muda huu tunashukuru kwa suport yenu tumepata mtu ambaye amechujua nafasi ya hitaji letu shukurani sana kwenu nyote na jamii forum kwa ujumla...asanteHabarini kama kichwa kinavyojieleza tunahitaji mtu mmoja wa kufanya site reprentative tipper office Kigamboni DSM dated 28/07/2023 time 10:30 am
Uwe na vitu hivi personal prptective equipment.
1. Steel toe safety boot
2. Cotton overcoat
3. Helment
Representing company
Ten associates
P.O.Box 148,
Songea
Check if you are willing transport and tea is our expenses no salary but its your connection
Mkuu, ebu rudia kusoma tangazo lako uliloweka pale juu alafu uje utueleze kwa kiswahili jinsi ulivyo elewa..πusipende kupotosha watu kwa kuamini kile unachokiamini wewe ndiyo wanachoamini jamii nzima...lakini siyo kosa lako ni ni mtaala wako goodluck
Labda wanataka wampeleke kwenye mashindano ya pikipiki ama baiskeli.Helment ndio kifaa gani??[emoji2369]
Mzee ulisha vurugwa kitamboπ€πLabda wanataka wampeleke kwenye mashindano ya pikipiki ama baiskeli.
Au alimaanisha hard hat...π
Na tatizo limeanzia kwako wewe mtoto hauna adabu haunitunzi mimi baba yako ili nile raha mjini na watoto kama wewe....βΉοΈMzee ulisha vurugwa kitamboπ€π
Nikupe namba ya Unique Flower π€π€π€Na tatizo limeanzia kwako wewe mtoto hauna adabu haunitunzi mimi baba yako ili nile raha mjini na watoto kama wewe....βΉοΈ
Yesu....πββοΈNikupe namba ya Unique Flower π€π€π€
Babu leo umeonja niniYesu....πββοΈ
Unanitafutia presha wemtoto
Naukuje nikukiss nikubusu nikutupilie mbaliYesu....πββοΈ
Unanitafutia presha wemtoto