Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Weee tokea lini unatunza vibabu humu jf au tukuitie wakuitwa aje kukuchamba sura kama nyani , ndio maana shida haziishi ulidondoshwagwa ukiwa mdogo ukabinukaNikupe namba ya Unique Flower 🤒🤒🤒
Ushimen ni mzee wangu🤗, so alikuwa ana tafuta mke wa pili🤒Weee tokea lini unatunza vibabu humu jf au tukuitie wakuitwa aje kukuchamba sura kama nyani , ndio maana shida haziishi ulidondoshwagwa ukiwa mdogo ukabinuka
Huyu atakufa usidhubutu kumtafutia mke hayaUshimen ni mzee wangu🤗, so alikuwa ana tafuta mke wa pili🤒
We Ushimen hebu jitetee hapa🤒Huyu atakufa usidhubutu kumtafutia mke haya
Naile miwani yake nanavyoongea acha tu shida tupu ataonaje mkizima taa hadi kerooWe Ushimen hebu jitetee hapa🤒
Una penda kugegedana wewe 🤒Naile miwani yake nanavyoongea acha tu shida tupu ataonaje mkizima taa hadi keroo
hapana umesema anatafuta mke nikakuambia nikababu tokea 90 yeye kashapata wajukuuUna penda kugegedana wewe 🤒
Kazima hako🤒😂hapana umesema anatafuta mke nikakuambia nikababu tokea 90 yeye kashapata wajukuu
Ananijua sana ila hatujawahi meet hata siku moja ila namjuabUshimen huu ni mtego🤒
Ushimen ya kweli haya, au ana taka akubebee mafao🤒😂😂Ananijua sana ila hatujawahi meet hata siku moja ila namjuab
mshamba_hachekwi ona hi tapeli🤒😂Babes Ushimen honey njoo naile sauti yakubembeleza wanawake au ndio imeisha kwa uzee imebaki kengele tu inayojulisha watu mbuzi wanapita
Simtaki mshamba_hachekwi anashida sana kampa demu mimba ni mtoto wa mama huyo unaona anapigana na mama yake sitaki watoto mimimshamba_hachekwi ona hi tapeli🤒😂
Halafu nitakuja kukushonaga hadi ukae kimya mwone sura kama kombeo la mganga, meno kama ya fisi ndio maana huchekagi sana maana yametawanyika kama karangaUshimen ya kweli haya, au ana taka akubebee mafao🤒😂😂
Una penda kugegedana 🤔, Musa was kulala we atheteist 🤒mimi ndo wa mwisho napewa mechi ya nguvu💪🏾
Sura Kama dekio la chooni🤒Halafu nitakuja kukushonaga hadi ukae kimya mwone sura kama kombeo la mganga, meno kama ya fisi ndio maana huchekagi sana maana yametawanyika kama karanga
Aku nitaibika mtoto wa chuo mwaka wakwanza amempa dada ake mimba aihsijampa mtu mimba, nakupenda