silver star
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 447
- 119
Milioni 40 (kwa site yote)Utaambiwa bil 3 wakati pemben wanalima mihogo
Milioni 40 (kwa site yote)Nenda eneo husika ulizia majiran sh ngapi .watayotaja punguza asilimia 20 Kisha mletee hela mezan
Milioni 40 (kwa site yote)Weka na bei mzee, ikiwezekana na picha za eneo husika
Milioni 40 (kwa site yote)Unaogopa kuweka bei?
Milioni 40 (kwa site yote)
Sqmt: 9720Jumla ina ukubwa wa Square metre ngapi?