Sitegemei Diamond Platnumz kumwacha Lowassa Safari yetu

Xperience

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
278
Reaction score
51
Jamaa awe mzalendo atuonyeshe maturity. Kama Arusha alitumbuiza kumtambulisha Lowassa na huku Ukawa atufate
 
Mpeni mpunga aje,muziki ni biashara,haiangalii unamuuzia nani,sidhani kama mkimpa mpunga na mkakubaliana atakataa,mtafuteni meneja wake Salaa mchonge naye
 
kwani Diamond amewahi kusema kwamba yeye ni CCM? Mfanya biashara toka lini akachagua wa kumuuzia, we mpelekee hizo milioni 50 halafu mwambie aje afanye show sebuleni kwenu uone kama atakataa
 
Diamond ni mjanja lazma achague the winning team ambayo ni UKAWA.
 
Diamond ni mfanya biashara mkuu, hatabww ukitaka kumuita kwenye kitchen party yako atakuja tu ili mradi salio lisome.
 
Diamond wapi alikwambia alienda kupiga show kisiasa, mwacheni Chibu avute pesa zzake hata wewe ukitaka hata chama cha waliolala pesa ipo mwiteni atakuja.

muache kutaka kumsingizia mambo na kuchangany na kazi, yeye ni mwanamuziki akipata kazi anaenda ya chama anayajua rohoni ukitaka mvizie siku anaenda kupiga kura mfate kwenye bega uone anachofanya.

mumuache kabisaaaa anapendwa na miziki yake na anaitwa na anvuta pesaaaaa akimaliza anarudi hm anaogeleaaaaaa hadi raha
 
Mchukueni Shilole.
Diamond is never on the loosing side.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…