Ni baada ya kutuma sms kwa babaangu badala ya kutuma kwa mchumbawangu.
Ilikuwa hivi.
Hello honey, happy valentine. Unajua ninavokupenda mpenzi wangu. Nimekununulia zawadi ya boksa Kama kumbukumbu ya valentine ila ntafurahi Kama utazijaribisha tukiwa wote. Love you honey, tukutane pale kwa Jana honey. Nakupenda Sana.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Post ulichokosea valentine day ya Leo tukusaidie kucheka.
Sent using
Jamii Forums mobile app