Sitoisahau mwaka 2022 ! Kuna kipindi nilipigika balaaa

Long story short....
Pole na hongera mkuu...😊
Mungu azidi kuzibariki kazi za mikono yako...
Mungu aitunze familia yako, iwe yenye amani na mafanikio tele...
 
Na hili nalo tulijadili?
 
Hongera kwa kupata mke mwema,anajua kuna kupata na kukosa
Hamna raha kusikia mwanamke anakwambia mmewake ulikuwa ukiniachia hela nabaki na akiba
 
Rejesha pesa z mwana alie kuungia wakati umekwama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…