Sitokuja kusahau, sitaki huu mwaka 2024 uniharibikie tena

Iringa sehemu gani pengine tunafahamiana!! hujaeleza kuhusu Baba yako alipo,au alifariki kabla ya Mama? na hao madereva wawili uliokuwa unawalipa Mshahara wa Laki Tano kwa mwezi huoni ulikuwa mshahara mkubwa sana?
 
Take your time it's marathon brother.

Skia mkuu wewe kimbiza achana na MALAYA kaka Malaya anapenda hela yako na sio mwili wako wala moyo wako.

Malaya ni zaidi ya mchawi asee.
 
Mkuuu hili swala nimechukua kwa uwezo mkubwa sana hujui tu jinsi gani nimesoma hii maseji kwa umakini mkubwa sana....

Asante sana mkuuu
 
Ni kweli mkuuu umeongea point ila omba tu usiwe tegemezi kwenu maana una baba wa familia... mfano nikikuba gharama za mgonjwa wa kupalalaizi kumbuka hawa huuugua muda mrefu bila bima kama umetokea familia ya chini chagua biashara au mgonjwa afe .

Ambulance gharama zake maaana wagongwa hawa hupata bed sores vidonda vya kulala muda mrefu so atahitaj gari maalumu sio gari tu ambulance kama akizidiwa

Sasa piga hesabu 8 month mgonjwa aliumwa.... so kibiashara hapa ilibidi nichague kuokoa maisha au biashara ..bahat mbaya nikashindwa vyote ....

...pia nashukuru sana kwa ushauri wako nimeumchukua next time company yangu sito chota hela nyingi kusolve problems private inshort kama ulivyosema
 
Wengi hawajui biashara eti "natuma hela wamuuguze mama"biashara ni biashara na undugu ni undugu hivi vitu havikai pamoja
 
Dah i feel you .
Simama tena rafiki bado ni mdogo na dunia bado inahitaji mimi na wewe tujenge historia .

Simama mnyalu , magumu yapo na hayatakwisha tizama ulichonacho mnyalu simama tuendeleze mapambano .



Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Duuh kwanza pole , ila tuongee ukweli Mtu anashika million 100 bado anashindwa kujenga hata kibanda Cha mill30, Naomba sana Mungu aniepushe na hili

"... nikapanga nyumba ya mill 10 natumia hela Hadi ziishe"
 
Aisee kama Kuna jambo la muhimu nililo wahi kukutana nalo humu JF basi hili ni Moja wapo
 
Safi...nyanyuka bro...yalinitokea bt..sikuwah kata tamaa...ninacho shukuru Mungu...nina afya njema...100M kuitafuta sio kaz kwa mpambanaji
 
Safi...nyanyuka bro...yalinitokea bt..sikuwah kata tamaa...ninacho shukuru Mungu...nina afya njema...100M kuitafuta sio kaz kwa mpambanaji
Toa experience ulinyanyukaje ndugu, kuoitia uzoefu ndio shule na chuo sahihi kuliko PhD za darasani
 
Mkuuu hili swala nimechukua kwa uwezo mkubwa sana hujui tu jinsi gani nimesoma hii maseji kwa umakini mkubwa sana....

Asante sana mkuuu
Karibu boss, let us keep pushing the wheel. Kukata tamaa mwiko
 
Pole sana chief
 
Hadi umekumbuka mtiririko wa matukio , ni wazi bado akili iko sawa, asset namba moja kurudi kwenye ufalme wako.

Buni njia mpya kurudi,usikariri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…