Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

Mpwa lete vitu, lete vitu bana
Sisi ma jobless tunakusubir hapa
Usituangushe jeshi letu
Tusogezee mda sisi wagonga ulimbo
 
Mbona ulikuwa huweki na ya kutolea?
 
Bulongwa Hyo mkuu
Upo sahihi! Ile safari ilikuwa na mkosi. Kutoka hapo zambia mpaka makete wilayani nilipanda TOYOTA HILUX, Kutoka makete hadi Ikonda nilipiga mguu. Njiani nikiwa nimechoka walitokea kundi kubwa la nyuki (sio hawa wa dar) nilikimbia lakini wakawa wanajigonga tu usoni, ikabidi nilale chini hadi walipopita wote.
Kufika mbele nikakatisha njia ya mkato upande wa kulia, ile natokezea tena barabarani nikapanda mlima hadi nikawa naiona ikonda ile pale ng'ambo.
Safari ilikuwa na wasamaria watatu, ambapo nimewapoza wawili mmoja tunaendelea kuwasiliana.
 
Ila Mpwayungu village ni noma licha ya kupitia magumu kwenye kipindi kigumu,

Bado mkuyenge ulisimama,baada ya kuona kifaa kibichi.

Duniani hatuchomoki salama kuhusu mbususu iwe kusingiziwa
Au kweli

_Nabii Yusufu kuozea jela
_Adamu kuipoteza paradise
_Samsoni kumwaga Siri zake

Hatari sana
 
Mbona husemi ulitokea wap na unaekekea wap
 
Hapo Zambia ni jirani na hospitali ya bulongwa. Niliwahi enda kikazi hapo Hospitali bulongwa tukalazwa kwenye guest ya kituo cha watoto yatima kuingia vyumbani kila chumba kina mablanketi manne. Mbaya zaidi nililala mwenyewe siku hiyo hakukua na mgeni mwingine. Imagine baridi la kule ulilowekewa blanket 4 guest nzima umelala mwenyewe na mhudumu wa guest ambaye ni mmama flani. Kidogo nikamgongee usiku niombe colabo ikaniwakia taa nyekundu kichwani kua huku makete kwa ngoma hatari, nikaingia bafuni nikapiga masterbation nikaja kulala usingizi mzito nikastukia asbh hii hapa
 
Mm ntakaeandika tanzania na aliendandika prutable unaona tuko sawa,anyway .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…