Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

-Mzee naniliu kugawa ukuu wa wilaya kwa mrembo cheupe
 
Mbona husemi ulitokea wap na unaekekea wap
Ni safari ya mzunguko fulani ambapo kuna sehemu mwanzoni nilisafiri vizuri, nilizosimulia ndio zilizokuwa majanga kwangu ambazo siwezi kusahau.
Mfano nilifika sehemu kati ya makete na ikonda nikaona road imezibwa na udongo mwingi ulioporomoka kutoka mlimani kutokana na mvua ya jana yake.
Nikajisemea kila mmoja na ateseke kwa namna yake, mimi mtembea kwa miguu hainihusu.
 
Nikajifunza jambo lingine, unaweza kumpatia mtu 5,000/- au 10,000/- ukaona SI kitu kumbe Kwa wakati huo, huyo uliyemsaidia anaona umemvusha pakubwa sana.
Kwa akili hizi ukizi apply mitaa ya Dar es Salama utapigwa pesa mpaka uchakae!!

Kwamba kila anayekusimamisha from nowhere unampa elfu kumi... Ooohh. Your are a very nice guy!
 
Kwa akili hizi ukizi apply mitaa ya Dar es Salama utapigwa pesa mpaka uchakae!!

Kwamba kila anayekusimamisha from nowhere unampa elfu kumi... Ooohh. Your are very nice guy!

Mkuu, utasimamishwa na Kila mtu?
Isikilize nafsi Yako, ukiona unaweza kufanya kitu hata kama ni kidogo kumsaidia mwingine, fanya. Hicho ndio Cha muhimu.
 
We still together bro
 
Kwa akili hizi ukizi apply mitaa ya Dar es Salama utapigwa pesa mpaka uchakae!!

Kwamba kila anayekusimamisha from nowhere unampa elfu kumi... Ooohh. Your are very nice guy!

Nime apply hizo hizo akili Dar na popote nnapoenda lakini namshukuru Mungu nna furaha na amani. Blessed is the hand that gives than the one that takes. Amen
 
Vibaka utafikiri walikuwa na visa nae, wanakwenda na kurudi
 
hata mimi nilikuwa nafatilia kimya kimya nilipoona tahadhari yako nikapita tu ila si muda nikakura kafanya ulivyomshauri aah.

bwege huyu hiki kipengelel kimeharibu story yote
 
Nshapita sana huko hiyo sehemu inaitwa Lupalilo nilikuwa na wachina
 
Nshapita sana huko hiyo sehemu inaitwa Lupalilo nilikuwa na wachina
Dah acha kabisa mkuu. Nilikuwa sijawahi kutembea kwa mguu umbali mrefu kwa lazima, nikajisikitikia sana kwamba nimekosa nini nyumbani hadi napata shida hii!

Umbali mrefu niliowahi kutembea kwa mguu ulikuwa ni wa hiari tu kutoka sehemu moja inaitwa Lugarawa hadi Ulayasi na sikuwa peke yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…