Sitosahau, Special thread

sitosahau siku maji yalikatika shuleni nikiwa form one marafiki zangu waislamu wakaniambie niende nao katika bomba la msikiti ambalo halikauki tukachote maji ya kuoga, bomba lipo karibu na msikiti. imamu wa msikiti ule alikuwa wa kidato cha tano akanigundua mimi siyo mwislamu akaniuliza, are you a moslem? wenzangu wale waislamu walionekana kunisikitikia sana na mimi nikamjibu siyo! kaniambia mwaga maji chini na uondoke upesi huku akiwakemea wenzangu na bila kumwaga maji yao kisha kaamuru turudi bwenini peke yangu nikiwa sina maji! nilimchukia sana.
 

Hahahahahaha Na Mm Sinta Sahau Hi Story Yako Kwa Kweli N Mecheka Mno Ase Pole Sana Ukikumbuka
 
Sitosahau siku ambayo nilikoswa kuuliwa na majambazi kijijin kwetu.
ilikuwa ni usiku nimelala mara mlango wangu ukangogwa na nguvu na mtu ambaye sikumjua papo kwa papo! jambo ambalo lilinifanya kutoka nje lakini sikufanikiwa kuona mtu aliyegoga ule mlango. nilipojaribu kusikiliza kwa makani nikasikia sauti kama mtu anayelia mwinzi, mwinzi, msaada jamani ninakufa.

kwa mazoea mimi nikadhani ni wezi wa kuku pale kijijini jambo ambalo lilikanifanya kukimbia hadi nyumbani kwa yule jamaa ambaye anatoa kelele, nilifika hadi majambaz yalipo nikayakuta yanavunja mlango na nyumba ili yamuue jamaa, kwa bahati zuri hawakuwa na bunduki, nilifika hadi pale baada ya majamaa kushituka yalinikimbiza namshukuru mungu hawakunidhuru chochote. lakin yule jamaa yalimuua pamoja na kujeruhi kijana mmoja pale kijijin ambaye naye alijipendekeza kama mimi akidhania ni wizi wa kuku.
 
Hata mimi sintosahau siku nimepiga bao kwa mara ya kwanza..nilikua naangalia porn magazine niliikuta kwenye madaftari ya bro huku nimelala kifudifudi ktandani. Nilikua naangalia hadi mwisho picha zote halafu naanza upya tena page ya kwanza nikarudia kama mara kumi hivi ghafla nikaanza kuskia hali isiyo ya kawaida nikajua nataka kujikojolea nikaamka fasta ili nikimbilie chooni...weeeeee, nilipiga mweleka nikajibamiza mlango wa chumbani nikamalizia hapo kila kitu. Nilishinda kama mgonjwa siku nzima nawaza nini kimenitokea maana sikuelewa kukojoa gani hivi nguvu zinaisha mwili mzima
 

pole mkuu! lakn hawa jamaa ni wakatiri sana sijui wao mungu wanaomuabudu ni mungu wa aina gan tu.?
 

haaaaaaaaaaaaaa
 

haaaaa kama nakiona hivi hicho kipondo
 

Hahaha ule mchezo ni hatari sana mkuu unaweza ukafa hivi hivi
 

Ha ha ha ha ha ha ha, mkuu umenifurahisha sana.
 
Sitosahau ilikua secondary form 3 hden garden. Tuliomba game ftbal na Moshi internationa school, kwakawaida ss tukicheza mpira asubuh kama 12 mapak 3 inasaidia kubalance ratiba nyingine za kusoma baadae kwaio tukakubaliana iwe ivyo na sisi ndo tuwafuate.Ilikjmos
Tukachukua costa mpaka kwao, chaajabu kufika mlinzi wao akatuambia vjana wamalala(apo ukicheck ni 1 inaenda nusu) tukamwabia awaamshe bas, eti watt awaamshi mpaka waamke wenyewe.
Dah! Siku iyo tuliridi watupu bila game.


Shule nyingine watu waamshwa 11 asbuh iwe weekdays au weekend ila MIS ninoma.!
 
Hulali wewe mtani? Nilimnyatia beki 3, halafu nikafumaniwa na maza....!!!

hahaaaaaaaa.. kiruuu. enheeee ilikuaje??? mission ilikua accomplished au ndo uliishia njiani? unafumwa halafu hujala mzigo... hahaaaa inauma
 
Nilikuwa shule moja ya wasichana huko iringa, nakumbuka siku hiyo umeme ulikuwa umekatika na ilikuwa kama saa Mbili kasoro hivi mwenyewe nimetoka kula alf mkojo umenibana nikaamua kwenda toilet, kufika toilet nikaingia choo ambacho mtu kajisaidia bila kufrash na maji y alikuwa yamekauka.. nikaghairi kukojoa coz puu iloachwa ilikuwa ni kubwa sana.. basi bwana ile natoka tu, mlangon si nikapishana na dada mmoja anataka kuingia toi, yan sikuweza hata kujitetea yule dada alijua mi ndo nimechafua choo. Akaenda kunitangaza bwenini tena kwa jina kabisa yan bila chenga na Tulikuwa bweni moja tunalala kama 70 hivi, kufika asubuhi shule nzima ilijua kama mi ndo huwa napuu bila kufrash wakat kiuhalisia sipo hivyo. Nilifedheheka na kuumia sana, nilimchukua sana yule dada kwakweli ila nilishamsamehe
 
Sitoisahau siku ya kwanza kuona maiti! 4th April! Glory to God - she was my mummy! RIP Mama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…