Sitta, Chenge wanafaa uspika Bunge la Katiba - Raia mwema

Huu mwingine sasa ni utani,yaani fisadi huyu huyu chenge aongoze bunge la kuandika katiba mpya?du!kweli TZ sasa ni sawa na kichwa cha mwendawazimu.tuombe Mungu apishe mbali balaa hili.
 
Deo Filikunjombe atafaa sana, huyu anajua kushirikisha kichwa chake, hatangulizi maslahi ya chama chochote na si mnafiki kama ule okoo wa panya ingawa wana undugu.
 
Give me a break! With all the people wamemuona Chenge?

Hivi kweli Chenge anaweza kukubali MAADILI YA VIONGOZI yakawekwa ndani ya katiba mpya?!

Chenge is supposed to behind bars in the first place, Kama isingekuwa serikali ya kishakaji na kulindana. Bado tunakumbuka pesa zetu alizoficha kwenye Visiwa vya Jersey!
 
Ndg. Zangu ili mchakato huu uendelee kwa manufaa ya wananchi wote, napendekeza Spika wa Bunge la Katiba asitokane na wanasiasa. Mimi nampendekeza Francis Stola (Samahani kama nimekosea jina lake). Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika
 
Kwa taarifa zaidi soma gazeti Raia Mwema la leo. Je kati ya hawa wawili waliotajwa na gazeti hili, nani anafaa zaidi na ni kwanini?

Mbona Raia Mwema online hawaja update habari zao? Pls, do the needful by attaching the story/ editorial commenyary for us to assess. However, Sitta is the best for being Master of Speed & Standards.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…