Kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na EL kuwa hatakuwa Spika wa bunge la 10 limetimia.
Source hizo zinadai kuwa kwa sasa 6 yupo tayari kujiondoa chamani, na hatimaye uchaguzi wa jimbo la urambo kufanywa upya, ambapo yeye atagombea kupitia CHADEMA.
Kinachoendelea kule mjengoni ni kwamba 6 anampigia upatu Marando awe Spika wa bunge.
Hana ubavu huo, si walitaka kumnyan'ganya kadi akawalamba miguu.Na yeye alilitumia bunge kupata umaarufu, hizo ndio cost zake, wajanja wenzake wamemuwahi, asubiri huruma za JK kwenye uteuzi
idea yako kama umekuwepo kwenye serikali ya moyo wanguNatamani sasa itokee japo ni vigumu kutokea kwa mbunge kufanya jambo la uzalendo badala ya kung'ang'ania maslahi. Hizi ni tetesi ambazo zinaweza kuwa kweli ama la!!
Kinachoendelea kule mjengoni ni kwamba 6 anampigia upatu Marando awe Spika wa bunge.
Mchungaji umesema!
Kama magazeti ya kibongo ukisoma kwa pupa umeliwa....Kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na EL kuwa hatakuwa Spika wa bunge la 10 limetimia.
Source hizo zinadai kuwa kwa sasa 6 yupo tayari kujiondoa chamani, na hatimaye uchaguzi wa jimbo la urambo kufanywa upya, ambapo yeye atagombea kupitia CHADEMA.
Kinachoendelea kule mjengoni ni kwamba 6 anampigia upatu Marando awe Spika wa bunge.
Nina habari kuwa jana aliitwa Ikulu Dodoma akakataa kwenda na vilevile leo hakushiriki katika kikao cha wabunge wa CCM kumchagua mgombea wa CCM. Kazi ipo.Hawezi kuhama kwa sababu ya kuukosa uspika,vinginevyo atajishusha hadhi,kwamba ni mroho wa madaraka.