Angalia source of information!!!!!!!!!!SOURCE: TAIFA TANZANIA
Ni bahati mbaya kwamba habari ndefu lakini haina chochote cha maana zaidi ya kuanza kampeni kabla ya wakati. Kuna haja ya kujua mmiliki wa gazeti na uhusiano wake na makundi yanayo hasimiana ndani ya CCM na Bunge.
well said.........issue ni moja, tunahitaji CCM ivutrugwe. Haijalishi nani kaivuruga.Ila wataka mabadiliko wa kweli nadhani wanakubali ili mabadiliko ya kweli yatokee lazima someone ,sometime, somewhere
Awe ni 6, RA, Lowasa , shibuda, JK ,Slaa,Zitto au yeyote yule tunahitaji watu wa kivuruga CCM kwani hivi sasa mbuzi na kondoo wanaishi zizi moja.
- kwa kujua au kutokujua kwa ajenda binafsi au kwa uzalendo lazima aivuruge na kuigawanya CCM
Kwa nini aliufunga mjadala wa Richmond kwa staili ile? Mbona sasa anauendeleza kwa kutumia majukwaa mengine ambayo sio rasmi kama lilivyo BUNGE?
Kwa nini aliufunga mjadala wa Richmond kwa staili ile? Mbona sasa anauendeleza kwa kutumia majukwaa mengine ambayo sio rasmi kama lilivyo BUNGE?
Well said Baija Bolobi watu wanahoji matokeo hawaangalii yamepatikanaje kutoka kiwango cha 40% cha utendaji wa bunge la Msekwa hadi 80% ya utendaji wa bunge la Sitta (hivi ni viwango vyangu tu) still hawaoni kitu wanahoji mbona hakupata 100% hata kama mtihani mtoto wako kapata hivyo lazima umpongeze ni sawa na kuhoji timu ya mpira imeshinda 1-0 kwanini haikushinda 5-0 hawajui kazi iliyokuwa uwanjani ukiwauliza wachezaji wenyewe watakuambia hata lile goli moja walilopata walikuwa nawasiwasi litasawazishwaWazee
Siku hizi serikali yetu ina magazeti mengi. Hata hili ni la serikali ya JK, lilioanzishwa na mafisadi kuhujumu agemda ya kupinga ufisadi. Hawa akina Prince Bagenda waliishiwa pumzi wakajisalimisha na ndio waendeshaji wa hili gazeti. Yako mengi kama akina Changamoto, Umma, Sauti Huru, Tazama Tanzania. Hapo usisahau media house nzima ya New Habari (Rai, Mtanzania). Haya yamejibainisha kuwa yanaunga mkono ufisadi.
Of course kuna IPPmedia na Sema Usikike, Nipashe, Taifa Letu, n.k - haya yanapinga ufisadi hata kama huwezi kukubaliana na kila kitu wasemacho.
Nikirudi kwa Sitta, niseme moja kubwa. Pamoja na jazba zake na udhaifu wa kibinadamu wa hapa na pale, yeye ni mpambanaji. Hii makala haikukusudia kumjenga, lakini imefanya hivyo kwa ajali.
-Huyu Sitta aliyethubutu mbele ya JKN akiwa mwanafunzi
-Huyu Sitta aliyethubutu wakati wa uhai wa JKN kuhoji muungano
-Huyu Sitta aliyeongoza mtandao uliomweka JK madarakani
-Huyu Sitta aliyesimama wima mbele ya NEC iliyodhamiria kumfukuza,
-Huyu Sitta aliyetamka mbele ya Rais kuwa hotuba yake haijakidhi haja kwa sababu haina ukali wa kutosha kuthibiti mafisadi
-Huyu Sitta aliyekataa kupatana na EL mbele ya Kamati ya Mwinyi,
Mimi nadhani, ni mpambanaji ukilinganisha na waliowahi kuthubuttu.