Ndalahwa Robert
Member
- Jan 22, 2014
- 51
- 5
Sitta sasa anakazi ya ziada kuhakikisha kwamba haangukii upande wa chama cha CCM kwani nakumbuka wakati ule alipobwagwa chini na kupitishwa makamu wake wakati ule kisa ni uwazi na ukweli wake wa kutochagua nani kasema nini na anatoka chama gani.
Sasa kazi kwake akiwa na msimamo wake huo, wenzake watamweka kundi gani wakati huu.
Ikumbukwe juzijuzi kahojiwa akituhumiwa kuanza kuonyesha nia ya kugombea urais 2015.
Haya ngoja tusikilize wiki ijayo mambo yatakuwaje na mtazamo wa vyama vya kisiasa kama ambavyo wametumia muda mwingi kupitisha kanuni za bunge maalumu huku vyama vya siasa vikiwa na ushawishi mkubwa ktk mambo waliyoyataka wao.