Sitta: Waziri Simba kalikoroga


Kama Waziri mwenye dhamana alitakiwa aupitie kwanza kwa kina kabla haujapelekwa kwenye ngazi zingine.
 
Mh, how many first ladies do we have?? kuna mmoja ana maelfu post na mmoja ana 20... whassup!!!

firstlady
Join Date: Wed Dec 2007
Posts: 20
Thanks: 10
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0



Re: Sitta ajibu Mapigo
 

Mkuu analaumiwa yeye kwakuwa ndie aliyemlaumu Spika wakati yeye kama Waziri alitakiwa apitie.
 
Mkuu analaumiwa yeye kwakuwa ndie aliyemlaumu Spika wakati yeye kama Waziri alitakiwa apitie.
Wa kulaumiwa hapa ni AG sio mama SS. Wala SS hajailaumu ofisi ya Spika! Wahafidhina akina Ngwilizi, JSM wanaomini juu ya nguvu nyingi za Rais ndio waliotufikisha hapa.
 

Tupo wawili Mkuu,mie nilipotea kidogo ndo nimerudi hewani.
 
Wa kulaumiwa hapa ni AG sio mama SS. Wala SS hajailaumu ofisi ya Spika! Wahafidhina akina Ngwilizi, JSM wanaomini juu ya nguvu nyingi za Rais ndio waliotufikisha hapa.

Nadhani hatuko pamoja.
 
Jamani mwenyewe JK raisi wetu anampendaaaaaaaaa, wengine turiiiiiiieeeeeee tutajijuuuuu
 

Spika ananishangaza sana. Kwa ustandard na u-spidi wake, kumbe miaka yote miine ya JK alijua sofia simba anafikiri kabla ya kutenda wakati watanganyika wote wanajua she doen't think?

GenderSensitiv, What is utawala bora in TZ ikiwa waziri wa utawala bora doesn't think (according to Sitta) -does not either have or doesn't know how to use her common sense before acting???!!!!!!!
 
Ni kweli. Tafadhali isome tena post ya kwanza kabisa iliyoanzisha thread hii. Hakuna mahali SS ameilaumu ofisi ya Spika.

Ulifuatilia vyombo vya habri vya jana?Soma magazeti ya jana utapata jibu.
 

Ndo hicho kinachonishangaza..
 

Mimi, wewe na spika - sote tunajua huyo mama yuko hivyo alivyo lakini aliyempa mamlaka ni mwingine na sisi hatuwezi kufanya lolote juu ya hilo.

Kwa kauli zake nyingi zilizopita tunamshangaa huyo mama kwamba bado yuko madarakani - haishangazi kusikia haya madudu anayofanya bali aliyempa hiyo kazi. Ndio maana tunalilia vetting ya wateuliwa wa rais ianzishwe kwenye bunge ili kuepuka kuongozwa ma mazuzu pale ambapo tunalazimika kutawaliwa na rais asiyekuwa na uwezo.
 

....Kwa Sofia na siasa za CCM,nataka ukubali yeye anawakilisha kundi kubwa la wanawake kwa kuzingatia yeye ndio mwenyekiti wa ccm wanawake.
So she is the best ever woman a CCM has.
Sorry Gender Sensitive that is opinion
 
Mama SS hayuko upande wa Spika Sitta. Kamati ya Katiba na Sheria alooiunda Spika Sitta iliupitia muswada huu. Ikaukubali uende Bungeni. Sitta hapa amewatukana wengi. Muswada ni mchakato jamani. unapitia mahali pengi tu kabla haujafika Bungeni.
 
SS hawezi kukwepa kulaumiwa kwa hili swala. Yeye kwenda ku-present ina maana yeye ndiye yuko responsible. Imagine mswada ungepongezwa na kupitishwa, sifa zingeenda kwa nani? Ni sawa na nchi kuuza madini yake kwa bei bwerere halafu useme eti raisi hahusiki maana kuna wizara inayohusika na madini.


 
Mama SS hayuko upande wa Spika Sitta. Kamati ya Katiba na Sheria alooiunda Spika Sitta iliupitia muswada huu. Ikaukubali uende Bungeni. Sitta hapa amewatukana wengi. Muswada ni mchakato jamani. unapitia mahali pengi tu kabla haujafika Bungeni.

Sikiliza WildCard, Sophia hawezi kupeka lawama kwakuwa yeye ndie aliyewasilisha muswada bungeni hivyo basi kama ungelikuwa na kasoro angeliupitia kwanza akakataa kuwasilisha bungeni in the first place. Vilevile ile kamati nayo inabeba mzigo wa lawama kwani ilitakiwa to my opinion ijiuzulu kwani wao walioutengeneza huo muswada. In general lililomkumba Sophia ni kama lilimkumba Zakia meghji kukosa umakini kazini kwani kama kiongozi anything that you do accounts to your peformance.

Performance inakuja pamoja na umakini kazini kitu ambacho huyu mama hana. Mimi binafsi nimemuona hafai nafasi ya uwaziri tangu kipindi kile cha kamati na majibizano yake na wazee wa CCM nikamuona si kiongozi mzuri ni mpiga debe mzuri labda but kama ujuavyo tanzania ufanisi huwekwa mwisho siasa zikawekwa mbele kuna akina mama kibao walio makini but sio huyu!!!
 
....Kwa Sofia na siasa za CCM,nataka ukubali yeye anawakilisha kundi kubwa la wanawake kwa kuzingatia yeye ndio mwenyekiti wa ccm wanawake.
So she is the best ever woman a CCM has.
Sorry Gender Sensitive that is opinion


The two are not related; m/kiti wa UWT has nothing to do with uwaziri wake. The issue at hand is failure on her part as a person to deliver in her ministerial position - whatever qualifications and other titles she has (wengine wameita sungura expertise etc) akazitumie hukohuko ajuako!

Honestly, why do we have such ministers? And I know there so many of them like this.
 
Wild Card,
Thanks for the good note above. I just wanted to know if this move could not affect the current constitution. Halafu kama ni Rais ndiye anayechagua hilo baraza la usalama, bado chances kubwa ni kuwa anaweza kabisa akawaweka watu anaoona anawamudu ili kufanya lile analotaka kufanya.
Kwa mtazamo wangu, kama kweli kuna umuhimu wa kuwa na chombo kama hicho, basi wajumbe wake ni lazima wapitishwe na bunge. Kumpa Rais blank cheque, ya kuwachagua watu anaowataka inawezekana ikaleta mushikeli kama Rais ataweka mbele maslahi ya makundi yaliyomsaidia kuingia ikulu, ilihali katika makundi hayo hakuna watu wenye sifa za kumshauri kwenye mambo nyeti kama ya Usalama.
Bado kwa mtazamo wangu, hii bill inatakiwa iangaliwe kwa umakini ili tusije jutia kosa letu la kukubali tu kila linalopendekezwa bila kujua athari zake nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…