i will be so puzzled, mwaka huu, huyu SS atakapo teuliwa kuwa waziri again.
I will be puzzled kama hatateuliwa. Na hata kama hatateuliwa itakuwa ni kuondoa bad blood tu na kuweka mvinyo ule ule wa zamani katika chupa mpya, some equally pathetic - if not even worse- airhead atateuliwa.
Kikwete hakuchaguliwa on the merit, Tanzania hatujawahi kuwa na meritocracy, tuna idiocracy na cronysm.Kwa hiyo as long as ana represent interests za Kikwete - which included bungling this bill- ataendelea kupeta.
Hii thinking kwamba serikali ina madhumuni ya kweli ya ku surrender presidential powers iko misguided.Sophia Simba amepewa kazi hii kwa sababu maalum, serikali haitaki muswada upite, so give the bill to the funky lady who cannot sing the alphabet while walking.She will be met with die hard courtiers, defenders of the faith, ombudsmen, oldguards and plain old stupids watakaompiga kabali ambazo atahitaji divine intervention kuzielewa, let alone kuji unlock.
Bill itashindwa (tena), watu watakuwa obsessed on the pixelations of Sophia Simba instead of focusing on the bigger picture, mchezo unaendelea kama kawaida. Wiki mbili watasahau, baada ya miezi michache uchaguzi, Kikwete atamaliza terms zake na kumpasia mwingine, mchezo umekwisha.
Delay, delay, delay and pass the baton. Nothing will be done, mark my words.