Ndio Nina ujuzi Wa KaziJe Watoa huduma;
• Wanao ujuzi wa hiyo kazi.
- Umri wao na Jinsia.
- Huyo atakayepatiwa huduma mnakuwa nae kituoni/ofisini kwenu au nyumbani kwa mteja.
- Au kwa wagonjwa au Wazee..mnayo clinic ya kutolea huduma ya Afya.
- Je huduma yenu imesajiliwa.