Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

Mtimti

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2008
Posts
942
Reaction score
647
25th October 2014 21:41



Miss Tanzania avua taji
 

Attachments

  • 1414262499152.jpg
    1414262499152.jpg
    69.4 KB · Views: 17,839
Wadau hii siyo taarifa rasmi ila nimeikuta huko, mwenye update atajazia
 

Attachments

  • IMG_20141025_213430.jpg
    IMG_20141025_213430.jpg
    69.6 KB · Views: 4,490
Kama picha isemavyo
 

Attachments

  • 1414262395421.jpg
    1414262395421.jpg
    68.9 KB · Views: 1,522
Itabidi Lundenga arudishe hela alizo ongwa na Mtemvu dah what comes around goes around.
 
HABARI ZA JIONI WATANZANIA WENZANGU,
KUTOKANA NA KUWA NIMEKUWA NIKISEMWA
SANA, MANENO MENGI YASIO NA TIJA JUU YA
HILI TAJI LA UMISS TANZANIA
2014,,,MPAKA KUPELEKEA NISIWE NA
AMANI NA UHURU NDANI YA NCHI YANGU
TANZANIA, KWA ROHO SAFI NIMEAMUA
MWENYEWE KUJIVUA TAJI HILO NA KUACHA
WANAYE ONA ANASTAHILI TAJI HILI APEWE
ILI NIENDELEE NA MAISHA YANGU KWA
AMANI ,ISIWE SHIDA SANA KWANI
SITEGEMEI TAJI HILI ILI KUISHI!! _nimenukuu toka kwenye ukurasa wake wa fb
 
Asingeishi kwa amani na hilo taji. Bora alivyoamua kuliachia ila bado anaweza kujiweka matatani kwa kufoji cheti cha kuzaliwa.
 
Kama ni Kweli amefanya la maana sana'
 
Kafanya la maana sana, na huyo Lundenga kuanzia sasa awe makini na mashindano yake ambayo yameingia dosari kubwa vinginevyo yatakosa mvuto.
 
AIBU kwake na kwa waliompa ilo TAJI!
Na iwe fundisho na kwa wengine dunia ya sasa huwezi danganya watu.
 
Alivyo mbishi yule sidhani kama kajivua hilo taji...

Hata mimi nina wasiwasi huo Dr.........hawezi kuvua kirahisi hivyo.......kama kweli itakuwa burudani.........
 
Kuna mtu ana wachezea akili taji alivuliwi fb!
 
Back
Top Bottom