Huyu Sitti dharau dharau, ila sio mjanja wala hakuwa na akili za kujipanga kudanganya.
Sasa tumefurahia haswa karudisha taji la wa Tanzania.
Eti "ISIWE SHIDA SANA KWANI SITEGEMEI TAJI HILI KUISHI"
eeh umepatikana inaonyesha ulilitegemea sana kuishi sasa rudisha pesa za ushindi na acha kujidanganya tunajua pesa zimeenda bure za kuonga mlizitegemea mpate mara 1000 back kwa ufisadi.
Haya tulia ulale omba Mungu as na huko USA usije ukawa umeharibiwa na Polisi watakufungulia kesi.... Rudisha pesa usizile.
Tunasubiri na hili liwe onyo kwa wanaobeba jina la nchi yetu.