Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania

kama ni kweli, nampa hongera japokuwa amechelewa.
 
Kama ni kweli Siti nitakupendaje!! Umeanza kunivutia sasa naona tunaelekea kuelewanq
 
Ujumbe wake wa FB anaonyesha kama vile ameonewa. Passport haiwezi kuonyesha umezaliwa mwaka 1989 harafu cheti kipya kinaibulka kwamba umezaliwa mwaka 1991 na watu ''wasikuseme sana kwa maneno mengi yasiyo na tija''

Halafu juu ya hilo, alipoulizwa swali aelezee huo utofauti wa hizo nyaraka akasema eti hakuwa amejiandaa kuulizwa/ kujibu hilo swali!

Nadhani huyu Sitti atakuwa ndo Ms.Tanzania kiazi kuliko wote waliowahi kushikilia hilo taji.
 
unajua hapa mchezo ulikuwa ni kuomba new birthcertificate kwa ajili ya miss Tanzania tu,vingine vyote vingebaki vya zamani,ndo ubaya wa kuanika maisha yako.
 
Wana jamvi hatimae miss tz sitti mtemvu abwaga manyanga kuanzia leo si miss tz tena
 
Kudadaikyiiiiii
 

Attachments

  • 1414264617586.jpg
    73 KB · Views: 798
unajua hapa mchezo ulikuwa ni kuomba new birthcertificate kwa ajili ya miss Tanzania tu,vingine vyote vingebaki vya zamani,ndo ubaya wa kuanika maisha yako.

Huyo Lundenga na huyo binti wote ni viazi!

Manake mpaka sasa nashindwa kuamini kama wao waliamini wangeweza kuushawishi umma wa Watanzania na hicho kimkutano chao na waandishi wa habari.

Badala yake ndo wakazidi kujichoresha tu.

Wangekuwa wana akili wangeuchuna na pengine watu wangesahau manake Watanzania nasi kumbukumbu zetu huwa ni fupi sana.
 
Haya mashindano mwisho wa siku yatakuja kupigwa stop sasa
 
Tujiulize Kwanini alitengeneza hicho cheti in the first place?

Inamaana alijijua kuwa yeye ni mshindi?
Hata kabla ya kushindana?

Damn lundenga upandishwe kizimbani hii ni dhulma na kuwanyang'anya fursa wanaostahili


Wadhamini msijitokeze kudhamini huyu mzee tapeli:thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown:lundenga na bibi yako
 
what's important, maisha ni lazima yaendelee no matter what!
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini huyo ni Sitti Mtemvu!

Kuna mtu ana cheza na akili zenu!Time will tell
 
Safiiiiiiiii..iiiiiiiiii..iiiiiiii...iiiiii.......iiiiiii......kazi kofoji vyeti hapa...afungwe sasa...NAONA RITA WAMEMKAMATAAAAAAAAA....KAAMUAAAA KIWAHIII KUTANGAAAA KUACHIAAAAAA...KANASWAAAA...NA ARUDISHE FEDHAAA..na ashitakiwe...na mtoto wake wa miaka 4 kamkana...kisa kaenda USA..kaona watu hapa Tz mapimbi...ashitakiwe na kuhukumiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…