Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Sitti Mtemvu ni miss wa kwanza nchini Tanzania kujiuzulu.
Ni miss aliyevunja rekodi ya kuwa miss mwenye umri mkubwa na akiwa mzazi mwenye mtoto.
Pamoja na hayo yooote najua mama huyu ana mashabiki wake, hapa ndio mahali penu mashabiki wa Sitti Mtemvu mtuambie kwasasa yupo wapi? anafanya nini? kesi yake ya kufoji vyeti imeishia wapi.
KARIBUNI
By: SUPU YA MAWE

Last edited by a moderator: