Sitti Mtemvu fans' special thread: Njooni mkutane hapa

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Sitti Mtemvu ni miss wa kwanza nchini Tanzania kujiuzulu.

Ni miss aliyevunja rekodi ya kuwa miss mwenye umri mkubwa na akiwa mzazi mwenye mtoto.

Pamoja na hayo yooote najua mama huyu ana mashabiki wake, hapa ndio mahali penu mashabiki wa Sitti Mtemvu mtuambie kwasasa yupo wapi? anafanya nini? kesi yake ya kufoji vyeti imeishia wapi.

KARIBUNI

By: SUPU YA MAWE
 
Last edited by a moderator:
Mngemuacha huyu sitti jamani!
 
Duh!!! ngoja nimfungulie uzi juma nature a.k.a kiroboto tuone nani atanusa sasa!!!
 
Hapo hapo Nina maswali, je mashindano ya unmiss kwa vitongoji na Mkoa yatafanyika mwaka huu? Sababu miss Tz imefungiwa miaka 2 na serikali
 
Duh! Kwa mtindo huu hata kinyambe atakua na "special thread yake"
 
[h=2]Update hiyo nawapa ya leo leo
UGENI WA MTEMVU KUTOKA MAREKANI WAFANYA ZIARA YA KIHISTORIA YA MAFUNZO KATIKA MAENEO MBALIMBALI JIMBO LA TEMEKE
[/h] [h=2][/h]

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na mkewe Mariam Mtemvu na Binti yao Sitti Mtevu -kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja na wagteni wao kutoka vyuo vikuu viwili vya Marekiani vya State University of New York na University of Buffalo, baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, leo kuanza ziara yao ya siku mbili katika jimbo hilo, kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala mbalimbali ya kijamii na maendeleo. Kulia ni Mkuu wa Msafara huo Mtanzania, Profesa Dan Nyaronga wa Chuo Kikuu cha Buffalo nchini Marekani.

Mtemvu akiwa na mdau wa maendeleo katika jimbo loa Temeke, Fiona Barretto wakati wa mapokezi ya ugeni huo kwenda wa mkuu wa wilaya ya Temeke
 
Hahahaa eeeh haitafika comments hata mia natabiri tu
 
Nini mia,hata ishirini hazifiki.Hii yangu ndio ya mwisho....
Teh teh teh

Hahahaa,upo mamy??wacha yangu iwe ya mwisho tusijejaza comments kwenye special uzi wa binti mtemvu
 
Hapo hapo Nina maswali, je mashindano ya unmiss kwa vitongoji na Mkoa yatafanyika mwaka huu? Sababu miss Tz imefungiwa miaka 2 na serikali

Kwa makusudi kabisa umeamua kuacha kutumia akili yako ya kuzaliwa!!..haya endelea kujidumaza hivyo hivyo!
 
Majungu si mtaji

wala si majungu labda hujaelewa lengo la mleta thread! Sitti alifanya makosa ambayo kisheria alipaswa kupelekwa mahakamani ila bahati mbaya hili suala linakuwa kama linafunikwa flani hiv so jamaa kaamua kuamsha mjadala.
 
wala si majungu labda hujaelewa lengo la mleta thread! Sitti alifanya makosa ambayo kisheria alipaswa kupelekwa mahakamani ila bahati mbaya hili suala linakuwa kama linafunikwa flani hiv so jamaa kaamua kuamsha mjadala.

Nahili ndio tatizo la bongo mtu anafanya madudu huko sheria inapindishwa na mwisho wa siku mtu yuko huru uraiani anadunda! Wallah ingelikua China huyu si wetu tena! Tu nchi chetu tudogo lakini tuwatu twalindana mpaka inakeraa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…