Sitti Mtemvu kafuata ushauri wangu

Sitti Mtemvu kafuata ushauri wangu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Wiki iliyo pita niliweka uzi huu: https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/746830-sitti-mtemvu-afanye-kama-tupac-2.html


Leo nakutana na habari hii, hapa chini. Amefuata ushauri wangu au its just a coincidence? Kama amefuata ushauri wangu, basi JF is a very powerful media. Big up sana kwa wasisi wa JF


DSC05245.jpg
 
1.) Wapi wamesema anaumwa?
2.) Hatujaelezwa katoweka kwa maana ipi, hapokei simu au haonekani mtaani, kajifungia huko marekani?

....??!
 
1.) Wapi wamesema anaumwa?
2.) Hatujaelezwa katoweka kwa maana ipi, hapokei simu au haonekani mtaani, kajifungia huko marekani?

....??!

Inamaana anaweza kwenda marekani akiwa na hizi nyaraka feki?
 
Wamesemaje hapo mkuu,natumia simu maandishi madogo nashindwa kuyasoma.

Vengu kapewa nyumba ya ml.120 na ataanza kuonekana tena kwenye orijino komedi. ..hiyo hapo kwenye picha ni mfano tu wa nyumba kama aliyopewa Vengu...ila usiamini shoga si unamjua shigongo tena...
 
Back
Top Bottom