1.) Wapi wamesema anaumwa?
2.) Hatujaelezwa katoweka kwa maana ipi, hapokei simu au haonekani mtaani, kajifungia huko marekani?
....??!
hawana lolote
Nimependa habari ya vengu kama kweli
Nimependa habari ya vengu kama kweli
Wamesemaje hapo mkuu,natumia simu maandishi madogo nashindwa kuyasoma.
Wiki iliyo pita niliweka uzi huu: https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/746830-sitti-mtemvu-afanye-kama-tupac-2.html
Leo nakutana na habari hii, hapa chini. Amefuata ushauri wangu au its just a coincidence? Kama amefuata ushauri wangu, basi JF is a very powerful media. Big up sana kwa wasisi wa JF
Umeona eeh huyo sitti dawa ni kumvizia tu apewe kichapo kama jestina basi...
Umeona eeh huyo sitti dawa ni kumvizia tu apewe kichapo kama jestina basi...