Sitti Mtemvu kuvua taji la Temeke, chang'ombe

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
HAIJAKAA sawasawa! Siku chache baada ya Sitti Abbas Mtemvu ( 25) kujivua taji la Miss Tanzania 2014 kwa madai ya kusakamwa na vyombo vya habari kuhusu umri wake, wadau wamemwangushia uwajibikaji mwingine wakimtaka avue mataji mengine mawili .

Baadhi ya wadau wa sanaa waliozungumza na Risasi Mchanganyiko Jumatatu iliyopita jijini Dar walisema kama kweli Sitti ana dhamira safi ya kukwepa kusakamwa basi ni bora kwake akavua na mataji ya Miss Chang' ombe na Miss Temeke ambayo ndiyo yaliyompa tiketi ya kwenda kambi ya Miss Tanzania na kushinda.

Wadau hao walisema kuwa , sheria za Miss Tanzania zinaanzia vitongojini , wilaya , mikoa, kanda na hatimaye taifa kwa hiyo kama skendo ya kudanganya umri imemla mpaka akaamua kujisalimisha , basi bado hana sifa za kuwa Miss Chang ' ombe na Miss Temeke wa mwaka 2014.

"Kwanza kabisa nasema Sitti hajavua taji la Miss Tanzania kwa sababu ya kusakamwa na vyombo vya habari kuhusu kudanganya umri bali ni kweli amedanganya ,anajijua."Kama angekuwa hajadanganya,kwa nini asitoe paspoti yake inayomwonesha ana umri wa miaka 23? Mambo yalimfika shingoni ndiyo maana.Anachotakiwa ni kuvua taji la Miss Chang'ombe na Miss Temeke mwaka huu,"alisema Ismail Chandu , mkazi wa Temeke jijini Dar .

Shindano la kumsaka Miss Chang' ombe lilifanyika Juni 27, mwaka huu kwenye Ukumbi wa TCC Chang' ombe, Dar ambapo Sitti aliibuka kidedea akifuatiwa na Paulina Elisante ( anayetakiwa kuchukua taji) , wa tatu ni Derena David .

Shindano la Miss Temeke 2014 lilifanyika Agosti 22, mwaka huu kwenye Ukumbi wa TCC Club, Chang' ombe jijini Dar ambapo Sitti Mtemvu aliibuka kidedea akifuatiwa na Salama Saleh ( anayetakiwa kushika nafasi ya kwanza) na nafasi ya tatu ilitwaliwa na Neema Mollely .

Novemba 5, mwaka huu, Sitti Mtemvu aliiandikia barua Kamati ya Miss Tanzania inayoongozwa na Hashim Lundenga akisema ameamua kwa hiyari yake kuvua taji hilo. Sitti alifikia uamuzi huo baada ya kuandamwa na skendo ya kudanganya umri wakati akigombea taji hilo.
 
Eeh mtamwambia mpaka avue chup1 mtoto wa watu mumtie madole maana wabongo mtu akikaa kimya mnaanza kumchokonoa mfyuuu, i stil count sitti mtemvu as miss Tanzania 2014
 
Yaani hii ishu ilivyokomaliwa utazan inaimpact kuubwa kwa nchi yetu, hata mafisadi hawakomaliwi hivi
 
Yaani hii ishu ilivyokomaliwa utazan inaimpact kuubwa kwa nchi yetu, hata mafisadi hawakomaliwi hivi

Issue ya Sitti ni kielelezo cha jinsi nchi yetu inavyoendeshwa katika nyanja zote - siasa, uchumi, michezo nk. Kila mahali pameoza. Iwe serikalini, kwenye NGOs, kampuni binafsi nk
 
Yani huyu mdada kauchamba ----- utamuawasha mpaka basi,mambo hayo yakudanganya yana wenyewe walobobea mtu anasema uwongo wala mwili hautetemeki na haogopi maneno ya watu wala wanyama ....
 
Yaani mpk atoke damu hii nchi kila mahali cheche.Huyu bibi Bomba umri umemtupa mkono unang'ang'ania nini?Rudisha vitu vya watu maisha ya songe mbele.Anakomaa utadhani kazaliwa miss na watamganda mpk atoke damu.Wamezoea sana
 
Eeh mtamwambia mpaka avue chup1 mtoto wa watu mumtie madole maana wabongo mtu akikaa kimya mnaanza kumchokonoa mfyuuu, i stil count sitti mtemvu as miss Tanzania 2014

Kumbe wewe ni team Sitti eehh?ndio maana sijawahi kukuona kwenye mijadala yake
 
Eeh mtamwambia mpaka avue chup1 mtoto wa watu mumtie madole maana wabongo mtu akikaa kimya mnaanza kumchokonoa mfyuuu, i stil count sitti mtemvu as miss Tanzania 2014

Nna waswas na akili na mawazo yako,ujui kua maswal ya talents yanaenda mbali na huy mdada angeanza kutafuna rasilmali na muda wa qa tz bila sabbu cz wanapewa platform ya kutosha kam rollmodals,yapasa kumwajibsha cz n bayan hana mvuto na sifa ya kua kioo,kaz ya miss bada ya hapo ni za jamii ssa unafkr atakuja kua mgen wa nani ili hari dhahir shair hana wasifu wa kusimma mbele zetu?afanye shughl zngne..
 
Kumbe wewe ni team Sitti eehh?ndio maana sijawahi kukuona kwenye mijadala yake

Ni kweli sijawah kuchangia kwenye thread zinazomuhusu yeye, uwa nachoka au kujisikia bored kuona mtu anazungumzwa huyp huyo kwa scandal hyo hyo kila siku, so uwa naipotezea , sina ushabik nae ila kwangu yeye bado ni miss Tanzania
 
Declare interest tafadhali, na Wema Sepetu uwache kumuongelea imetosha.
 
Nasikia kumbe kadungwa mimba ya 2....manina wallaah....bibi bomba katutanulia 2014.....!!!
 
Eeh mtamwambia mpaka avue chup1 mtoto wa watu mumtie madole maana wabongo mtu akikaa kimya mnaanza kumchokonoa mfyuuu, i stil count sitti mtemvu as miss Tanzania 2014
ile ilikuwa chakula ya li lundenga seng. sana lile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…