Sitti vua taji dada ume expire ghafla

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,120
Reaction score
3,468
Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu aliopotangazwa mshindi. Ziba masikio, fanya yako! Wakati watu wakichonga juu ya sakata la madai ya kuwa na mtoto na utata juu ya umri wake, Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu anadaiwa kukimbilia kanisani. Habari za uhakika zilidai kwamba, baada ya kutwaa taji hilo hivi karibuni na kuibua sintofahamu, mrembo huyo alikimbilia kwenye Kanisa la Ufunuo kwa Nabii Yaspi Bendera lilipo Yombo-Buza jijini Dar kwa ajili ya kumshukuru Mungu kwa kufanikisha ndoto yake ya kuwa Miss Tanzania. Ilidaiwa kwamba, Sitti ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Temeke kwa leseni ya CCM, Abbas Zuberi Mtemvu, akiongozana na mama yake, walikwenda kwenye kanisa hilo kwa ajili ya kutoa shukrani kwa wema aliomtendea Mungu. "Watu wanaendelea kumsema mtoto wa mwenzao huku yeye anamshukuru Mungu kwa sababu hata kabla hajatwaa taji hilo alikuwa akisali hapa hivyo Mungu amepokea maombi yake na si vinginevyo kama watu wanavyomsimanga," alisema muumini mmoja wa kanisa hilo.
 

khaa.Hayanihusu lakni nimeshangaa.Mie nilidhani huyu dada ni ile dini nyingine.
 
khaa.Hayanihusu lakni nimeshangaa.Mie nilidhani huyu dada ni ile dini nyingine.

Hawa ndio wanaotuharibia makanisa yaani ukatoe shukrani kwa kuonyesha vi..chup nyambafu kabisa hii kitu KKKT huwezi ikuta.
 
Leo jumanne tarehe 21/10/2014 waandaaji wa shindano hilo ambao ni Rhino....watatoa tamko kuhusu hili swala.

stay tuned.
 
Mwacheni binti wa mheshimiwa. Kwani wakati wa kutafuta mamiss vigezo hufuatwa tokea ngazi ya chin i? Mbona MTU akisha shinda ndio watu wanaanza kufuatilia historia yake kiundani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…