amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
MTV hajawahi hata kuwa nominated, ila BET new act peoples choice alishinda..

Asante mkuu kwa kunusahihisha. Ila ni kwann huyu jamaa si maarufu hasa hapa kwetu lakini ana mambo makubwa?
Mkuu kufanikiwa kuwin market kunavitu vingi sana..
Ninaweza kukupa mfano mzuri, mimi nyumbani kwetu nikimuuliza mama na bibi kuhusu davido wanamfahamu na watakwambia wanamjulia skelewu na sanasana my number one... Wizkid hawamjui kabisaaa licha ya kuwa mwanamuziki mkuwa saana Africa.
Mwanamuziki kuongeza idadi ya mashabiki nchi tofauti ni tofauti kabisa na Jina kama jina kuongezeka kama kupata views kwasababu hapo views M14 hao unaweza ukaona ni asilimia kubwa wa Uganda na ndio wimbo wake pekee ulio hit saana kimataifa, na ukijaribu kuangalia hana wimbo mwingine wowote uliofika views hata millioni mbili youtube, unafikiri kwanini?????
Jose chameleone huwa anatoboa kwa kuangalia watu wanataka nini, kwanza aliamua kutumia kiswahili maana Silaha ya msanii ukiachana na yeye kama yeye ni Aina ya nyimbo zako zinachezeka? tune zake zipo poa? Na kwa àmbao hawazijui lugha yako je maneno yanaweza kuimbika kirahisi na kilamtu?
Ndio maana diamond inakuwa rahisi saana kutoboa hata mtu aiyejuwa lugha ya kuswahili nyimbo zake zitachezeka na kuimba kuna maneno lazima hayawezi kumpita "Oh na na na" "my number one my sweetie sweetie" vitu kama hivo kati ya mengi anayofanya kujipromote pamoja na kutaka attention ya kwanza kwa kufanya collable kuwafanya watu wasiokufuatilia wajaribu kuonja ladha yako afu uwateke kabisa
Hivi yule wa kwetu hapa hajafikisha hiyo?
ulichoongea ni pointi tupu chukua like 100,000,000,000,000,000,000,000,000Kinachoangaliwa sio wimbo mmoja kufikia hiyo idadi, ila ni consistency ya mwanamuziki kuwepo hiyo sehemu..
Eddy anahiyo millioni 14.5 ila hana wimbo mwingine uliofika hata millioni 2 mwaka huu katoa ngoma kadhaa ila hata moja hakuna iliyofika milioni 1
Hata shaa wimbo wake wa "Sugua gaga" unazaidi ya views millioni 18, ila hana wimbo mwiñgine uliofika millioni 1
Diamond anachowazidi wenzake na kuwa KING OF VIEWS ON YOUTUBE NI CONSISTENCY, kila wimbo unakuwa unafanya vizuri mnooo
-My number one (zaidi ya views 10,700,00)
-Nitampata wapi (zaidi ya views 5,800,000)
-Nana (zaidi ya views 5,600,000 na hii ndio itavunja rekodi kwa hapo inamiezi mitatu na wiki kadhaa toka itoke hiyo kasi haijawahi kutokea)
-My number one original (zaidi ya 4,800,000)
-Mdogomdogo (zaidi ya 4,600,000)
-Nasema nawe (zaidi ya 4,500,000)
HICHO NDIO KINACHOHITAJIKA, sio mmoja then nyimbo nyingine hovyoo inakuwa kama mwanafunzi aliyepata somo moja 'A' darasani afu mengine kama kumi hivii 'F' huwezi kusema kafaulu ni BOGUS
Kinachoangaliwa sio wimbo mmoja kufikia hiyo idadi, ila ni consistency ya mwanamuziki kuwepo hiyo sehemu..

Mkuu mtu anapokiwa na viewers milioni 14 atalipwa au atapata bei gan kama malipo ya wimbo wake kupakuliwa kwa idadi hiyo?
Kinachoangaliwa sio wimbo mmoja kufikia hiyo idadi, ila ni consistency ya mwanamuziki kuwepo hiyo sehemu..
Eddy anahiyo millioni 14.5 ila hana wimbo mwingine uliofika hata millioni 2 mwaka huu katoa ngoma kadhaa ila hata moja hakuna iliyofika milioni 1
Hata shaa wimbo wake wa "Sugua gaga" unazaidi ya views millioni 18, ila hana wimbo mwiñgine uliofika millioni 1
Diamond anachowazidi wenzake na kuwa KING OF VIEWS ON YOUTUBE NI CONSISTENCY, kila wimbo unakuwa unafanya vizuri mnooo
-My number one (zaidi ya views 10,700,00)
-Nitampata wapi (zaidi ya views 5,800,000)
-Nana (zaidi ya views 5,600,000 na hii ndio itavunja rekodi kwa hapo inamiezi mitatu na wiki kadhaa toka itoke hiyo kasi haijawahi kutokea)
-My number one original (zaidi ya 4,800,000)
-Mdogomdogo (zaidi ya 4,600,000)
-Nasema nawe (zaidi ya 4,500,000)
HICHO NDIO KINACHOHITAJIKA, sio mmoja then nyimbo nyingine hovyoo inakuwa kama mwanafunzi aliyepata somo moja 'A' darasani afu mengine kama kumi hivii 'F' huwezi kusema kafaulu ni BOGUS
Mkuu kufanikiwa kuwin market kunavitu vingi sana..
Ninaweza kukupa mfano mzuri, mimi nyumbani kwetu nikimuuliza mama na bibi kuhusu davido wanamfahamu na watakwambia wanamjulia skelewu na sanasana my number one... Wizkid hawamjui kabisaaa licha ya kuwa mwanamuziki mkuwa saana Africa.
Mwanamuziki kuongeza idadi ya mashabiki nchi tofauti ni tofauti kabisa na Jina kama jina kuongezeka kama kupata views kwasababu hapo views M14 hao unaweza ukaona ni asilimia kubwa wa Uganda na ndio wimbo wake pekee ulio hit saana kimataifa, na ukijaribu kuangalia hana wimbo mwingine wowote uliofika views hata millioni mbili youtube, unafikiri kwanini?????
Jose chameleone huwa anatoboa kwa kuangalia watu wanataka nini, kwanza aliamua kutumia kiswahili maana Silaha ya msanii ukiachana na yeye kama yeye ni Aina ya nyimbo zako zinachezeka? tune zake zipo poa? Na kwa àmbao hawazijui lugha yako je maneno yanaweza kuimbika kirahisi na kilamtu?
Ndio maana diamond inakuwa rahisi saana kutoboa hata mtu asiyejuwa lugha ya kiswahili nyimbo zake zitachezeka na kuimba kuna maneno lazima hayawezi kumpita "Oh na na na, baby ooh" "my number one my sweetie sweetie" hata mtoto anaeanza kuongea hizi nyimbo atakuimbia vizuri mnoooooo, au hata mzee asiefuatilia mziki... Mwanamuziki unatakiwa ujuwe watu wanataka nin? Wimbo wa Roberto wa Zambia 'AMARULA' umetoboa Tanzania vizuri saaaana kaimba vitu vya ajabu ajabu ila in a simple way ambapo lazima ujikute umeimba pale unapooga japokuwa huijui lugha aliyotumia... vitu kama hivo kati ya mengi anayofanya kujipromote pamoja na kutaka attention ya kwanza kwa kufanya collable kuwafanya watu wasiokufuatilia wajaribu kuonja ladha yako afu uwateke kabisa
Huyo anayemjua davido ni bibi yako kweli au dada yako?..