Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Miaka ya nyuma nilikuwa nafanya biashara hii, lakini kwa sasa nimeachana nayo.
Nimejaribu kuwaambia JamiiForums waufute Uzi wa mwaka 2021 lakini hajaufuta, Na kuleta hali ya sintofahamu.
Umma wa Watanzania naomba ieleweke kwamba kwa sasa siuzi maziwa ya mbuzi, wala usitume hela kwa namba yoyote kati ya hizo mbili, kwani sizitumii kwa sasa.
Asanteni sana kwa kunielewa.