Sawa ndugu .
Miaka ya nyuma nilikuwa nafanya biashara hii, lakini kwa sasa nimeachana nayo.
Nimejaribu kuwaambia JamiiForums waufute Uzi wa mwaka 2021 lakini hajaufuta, Na kuleta hali ya sintofahamu.
Umma wa Watanzania naomba ieleweke kwamba kwa sasa siuzi maziwa ya mbuzi, wala usitume hela kwa namba yoyote kati ya hizo mbili, kwani sizitumii kwa sasa.
Asanteni sana kwa kunielewa.
πhadi mbuzi mnawakamua!
sasa mbuzi watapumua..π€£Amejipata
halafu za chinichini nasikia ilikuwa ni chombo ya yule mchawi hatari humu ndani, naona itakuwa wamejipata..ππ
Aiseee π€£ π€£ π€£ π€£sasa mbuzi watapumua..π€£
Duuuh kumbe huwaga mnamute tu mkiona mada afu siku ya siku mnakuja kumuwashia moto mtoa madaπ«’π«’π πhalafu za chinichini nasikia ilikuwa ni chombo ya yule mchawi hatari humu ndani, naona itakuwa wamejipata..π
Mi kwenye hayo sipo mkuuhalafu za chinichini nasikia ilikuwa ni chombo ya yule mchawi hatari humu ndani, naona itakuwa wamejipata..π
mi nilisikia tu sina hakika!.. hata hivyo focus kwenye uzi, uzi unahusu usitishwaji wa huduma ya maziwa ya mbuzi...πDuuuh kumbe huwaga mnamute tu mkiona mada afu siku ya siku mnakuja kumuwashia moto mtoa madaπ«’π«’π π
leo ninalo mnanikimbia...π€£Mi kwenye hayo sipo mkuu
Akifuatana na @demisshalafu za chinichini nasikia ilikuwa ni chombo ya yule mchawi hatari humu ndani, naona itakuwa wamejipata..π
Huwa nahusika na yanayohusiana namimi, yenu nawaachia wenyewe, chaap rudi kaedit komenti yako πleo ninalo mnanikimbia...π€£
demi huyuhuyu mke wangu..?Akifuatana na @demiss
huwa sifuti waache waje wajibu tupime uhalali wa statement yangu!.Huwa nahusika na yanayohusiana namimi, yenu nawaachia wenyewe, chaap rudi kaedit komenti yako π
Demiss cha mdeko au munze siku hizi! Siyo Demidemi huyuhuyu mke wangu..?