Sivai Tangazo lako-eti lina rangi nyekundu!!!!!!

Sivai Tangazo lako-eti lina rangi nyekundu!!!!!!

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
hahahahahahaha

jamani huu ni wakati wa kutafuta pesa,sio wakati wa kuanza kukimbia pesa kwa sababu ya rangi na ushabiki,kwa hiyo mkiona rangi nyekundu ama njano ama nyeupe zipo ktk maandishi hamsomi? ama zikiwepo uwanjani hamtacheza mpira?

nadhani umefika wakati sasa tubadirike jamani,tuache hizi kasumba

oooh situmii hiki kikombe eti kina rangi ya njano,kwani ukitumia utakufaaaaaaaa? haya umeishiwa damu nawe hupendi rangi ya nyekunde itakuwaje? tukuache ufeeeeeeeeeeeeeeee?

mnazidi kuzirudisha timu zetu kwa kasumba za rangi
 
Back
Top Bottom