Siwa kwa kizungu ni nini?

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,604
Siwa ni ile fimbo inayotumika bungeni. Naombeni kizungu chake kwa anayefahamu tafadhali.
 
Kizungu ndio lugha ya wapi mkuu...?

Je tukitafsiri kwa Kiitaliano, Kihispania n.k hitaji lako litakuwa limetimia?
 
Kizungu ndio lugha ya wapi mkuu...?

Je tukitafsiri kwa Kiitaliano, Kihispania n.k hitaji lako litakuwa limetimia?
Simshangai hata enzi ileTV zinaingia kwa jirani wakinunua basi tunasema wamenunua ITV,vituo vya mafuta vyote ni shell hata kama ni Total au BP.Kiingereza ni kizungu
 
Simshangai hata enzi ileTV zinaingia kwa jirani wakinunua basi tunasema wamenunua ITV,vituo vya mafuta vyote ni shell hata kama ni Total au BP.Kiingereza ni kizungu

Hata mimi sijishangai, maana hata simu zote za mkononi zilikuwa mobitel
 
Rangi zote za viatu zinaitwa kiwi na mifuko yote ya ng'amba (nailon)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…